ikulu.go.tz - Ikulu | Mwanzo

Description: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

tanzania (648) president (493) state house (21) rais (18) dodoma (12) ikulu (4)

Example domain paragraphs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Aman Abeid Karume katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Kampasi ya Tunguu walipohudhuria Hafla ya Mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) tarehe 28 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) Paul Makanza wakati wa hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Changamoto za Millenia (MCC) Bi. Alice Albright kwa njia ya video, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Desemba, 2023.

Links to ikulu.go.tz (162)