Description: MKURABITA | MKURABITA
business (45994) property (9781) land (7481) disadvantaged (42) formalization (5) mkurabita (1) certificate of right of occupancy (1) certificate of customary right of occupancy (1) dead capital (1) integrated business formalization and (1)
Welcome to MKURABITA website!... Read More
Mmoja wa wanufaika wa MKURABITA, Bw. Khamis Hussein akieleza namna alivyonufaika na Kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara cha Mkokotoni, Wilaya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar.
Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), CPA. Dkt. Seraphia Mgembe akielezea majukumu ya Taasisi yake kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuzindua Kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara kilichopo Mkokotoni, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar.