iringa.go.tz - Home | Iringa Region

Description: A default home page

Example domain paragraphs

Bibi. Halima Omari Dendego Mkuu wa Mkoa Wasifu Ukaribisho

Mhandisi. Leonard Robert Masanja Katibu Tawala Mkoa Wasifu

 Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Halima Dendego ameahidi matokeo makubwa kwenye zao la chai inayoanza kufufuliwa baada ya kutelekezwa kwa miaka 30 Wilayani Kilolo. Mhe.Dendego ametoa ahadi hiyo mbele ya Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe aliyefanya ziara ya kukagua shamba la chai lilipo Kidabaga Wilayani Kilolo. Tayari Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetoka Shilingi 300 milioni kwa ajili ya kusafisha shamba hilo la chai na mpaka sasa wamekwishapokea shilingi milioni 100, na zoezi la ufyekaji wa shamba hilo

Links to iringa.go.tz (4)