chiefsecretary.go.tz - Katibu Mkuu Kiongozi | Mwanzo

Description: Tovuti Rasmi ya Katibu Mkuu Kiongozi

tanzania (654) chief (342) secretary (129) state house (21) ikulu (4) katibu (1) mkuu (1) kiongozi (1)

Example domain paragraphs

Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses M. Kusiluka akisisitiza jambo wakati wa akiongoza Kikao cha 43 cha Kamati ya Utendaji ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. 15 Mei 2023

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakifuatilia mijadala mbalimbali katika Kikao cha 43 cha Kamati hiyo kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. 15 Mei 2023

Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses M. Kusiluka (kushoto) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Rais Ikulu Chamwino – Dodoma, kabla ya kukagua maendeleo ya maandalizi hayo. Jengo hilo linategemewa kuzinduliwa na Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan tarehe 20 Mei, 2023. 10 Mei, 2023

Links to chiefsecretary.go.tz (6)