tnbc.go.tz - TNBC | Mwanzo

Description: Tanzania National Business Council (TNBC) | Baraza la Taifa la Biashara

business (47736) council (988) dialogues (37) tnbc (4) baraza (3) tnbc meeting (1) presidential circular (1) majadiliano (1) mkutano wa tnbc (1) waraka wa rais (1)

Example domain paragraphs

Tarehe 11.04.2023, TNBC, Tukishirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi tumeendesha Mkutano kwa pamoja wa Wadau wa Sekta ya Uchukuzi, Ministerial Public Private Dialogue – MPPD katika Kituo cha Kimataifa cha JNICC Jijini Dar es salaam. Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.)

Tarehe 11.04.2023, TNBC, Tukishirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi tumeendesha M...

Mhe. Bal. Dkt. Pindi Chana (kati kati), Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mwenyekiti wa 'Ministerial Public Private Dialogue' (MPPD) tarehe 30.03.2023 ameongoza Mkutano wa Majadiliano ya Wadau wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika ukumbi wa VVIP Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es salaam, kulia kwa Mhe. Waziri ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dkt. Godwill Wanga.

Links to tnbc.go.tz (4)