osha.go.tz - Occupational Safety and Health Authority

Example domain paragraphs

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) ni chombo cha kusimamia usalama na afya mahala pa kazi kwa kuhakikisha kwamba waajiri wote nchini wanaweka miundo na mifumo inayohakikisha usalama na afya mahala pa kazi vinalindwa.   Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la idadi ya waajiri wanaotuma maombi kuomba kukaguliwa au mafunzo ya usalama na afya makazini mwao. Hiki ni kiashiria muhimu cha mafanikio. Taasisi ya OSHA inatia mkazo katika kuelimisha kuliko kuadhibu ili kuhakikisha kwamba waa

Links to osha.go.tz (6)