kisikihai.com - Kisiki Hai | mbinu za kuongoa mandhari ya ardhi | Justdiggit

Description: Mbinu ya kisiki hai inatusaidia kukuza tena miti iliyokatwa. Tafuta zaidi katika mbinu hii ya kuongoa mandhari ya ardhi.

Example domain paragraphs

Anza kurudisha rutuba katika shamba lako kwa kufuata maelezo, video, mabango na redio, vyote hivi vipo hapo chini!

Njia ya Kisiki Hai imeitwa ‘Mkombozi wa mazingira’ hasa katika maeneo kame, kwa sababu kuu nne:

1. Gharama nafuu, 2. Endelevu, 3. Rahisi kwa mtu yeyote, 4. Matokeo ya muda mfupi.